Bani Israil 17:69 ام امنتم ان يعيدكم فيه تارة اخرى فيرسل عليكم قاصفا من الريح فيغرقكم بما كفرتم ثم لا تجدوا لكم علينا به تبيعا ٦٩
أَمۡ
أَمِنتُمۡ
أَن
يُعِيدَكُمۡ
فِيهِ
تَارَةً
أُخۡرَىٰ
فَيُرۡسِلَ
عَلَيۡكُمۡ
قَاصِفٗا
مِّنَ
ٱلرِّيحِ
فَيُغۡرِقَكُم
بِمَا
كَفَرۡتُمۡ
ثُمَّ
لَا
تَجِدُواْ
لَكُمۡ
عَلَيۡنَا
بِهِۦ
تَبِيعٗا
٦٩
Au mmeaminisha ya kuwa hatakurudisheni humo mara nyengine na kukupelekeeni kimbunga cha upepo akakuzamisheni kwa mlivyo kufuru, na kisha msipate wa kukunusuruni nasi. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Au mumejiaminisha, enyi watu, kwamba Mola wenu, na hali nyinyi mumemkanusha, hatawarudisha baharini mara nyingine kisha akawaletea kimbunga kikali chenye kuvunjavunja kila kitu kinachokifikia, kikaja kikawazamisha kwa ukanushaji wenu, kisha msipate kitu chochote cha madai au malalamiko juu yetu, kwa…
Au mumejiaminisha, enyi watu, kwamba Mola wenu, na hali nyinyi mumemkanusha, hatawarudisha baharini mara nyingine kisha akawaletea kimbunga kikali che…